Ijumaa, 3 Aprili 2020

REVIEW | 'Escape Plan 3: The Extractor' is Coming

1150889

Kuhusu Filamu

Muendelezo wa Filamu ya Escape Plan ambayo ilianza kutoka mwaka 2013 ikiwa na jina la Escape Plan, baadae mwaka 2018 ilitoka Escape Plan 2:Hades na mwaka huu itatoka Escape Plan 3: The Extractor. Filamu hii ambayo inazumgumzia maisha ya Ray Breslin ambaye ni mwafanyabiashara na mhandishi wa maumbo akiwa na sanaa kubwa sana ya kutoroka./lakini pia bwana Ray Breslin amekuwa akisaidia kujengwa kwa detention center zikiwa na kiwango cha juu kabisa cha ulinzi.

Waigizaji kwenye Escape Plan 3: The Extractor

hqdefault

Escape plan the extractor imeigizwa na Sylivester Stallone "Rambo" akitumia jina la Ray Breslin, Curtis Jackson "50 Cent" akiitwa hush, Jaime King kama Abbigail Ross, Dave Paulista anatumia jina la Trent DeRosa, Max Zhang akiitwa jina la Shen hawa wote walikuwapo kwenye Escape Plan 2: Hades.
waigizaji wapya ni Devon Sawa anatumia jina la Lester Clark, Jr., Harry Shum Jr anatumia jina la Bao, Malese Jow akiitwa Daya na Sergio Rizzuto anatumia jina la Narco.

Tarehe Rasmi ya ambayo filamu itatoka

Kampuni LIONSGATE ambayo ndio waandaaji na wasambazaji wa filamu hii ya EScape Plan wametangaza itarushwa kwa mara ya kwanza tarehe 20 Juni 2019 nchi ya Urusi, filamu hii imekuwa imezalishwa na Mark Canton, huku mwelekezi ni John Herzefeld.

Escape Plan 3: Inahusu nini?

Escape Plan 3: inahusu Binti wa mfanyabiashara waHong Kong ametekwa huku inatakiwa familia itoe pesa kwa ajili ya binti huyo aachiwe. Baadae Ray Breslin anapewa kazi na kunid lake kwenye kuchunguza wanapata kujua mtekaji ni mtoto wa partner wa mfanyabiashara wa binti huyo na yuko nae binti katika Massive Prison linalojulikana kama Devil's Station.

Vipi kuhusu Trailer?

Mpaka sasa hivi hakuna trailer rasmi ambayo imetolewa lakini kuna behind the scene footage ambazo zinapatikana YouTube na pia kuna Fan Made Trailer.

Wapi itapatikana?
Kwenye Cinema Hall zote mnaweza kuangalia filamu hii, Lakini pia baada ya kutoka itakuwepo kwenye BLOG na utaweza kupakuwa kwa MB chache lakini High Definition.


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni