Leo hii nimekuletea ukumbusho kutoka Season tano ambazo hakika zimekuwa ni nzuri sana mbele ya watazamaji ya Tamthilia hizi, LAkini tutaangalia tu zile Introduction Monologues, hapa namaanisha yale maneno ambayo yanasema mwanzoni kabla ya episode husika kuanza, Season hizo ni The Flash(kampuni ya CW), Merlin kutoka BBC, Arrow kutoka CW, Legend of the Seekerkutoka BBC na Legend of Tomorrow kutoka DC comic.
Kumbuka: Hizi sijapanga kwa ubora ama mvuto lakini ni nzuri kwa mtazamaji
THE FLASH
Kwa ufupi Season ambayo inamuhusu jamaa anaitwa Grant Gustin kwenye Movie kama Barry Allen, ambaye wakati yupo mdogo mama ake aliuliwa na kitu ambacho hakijulikani na baba ake akapewa kesi ya mauaji ya mke wake na kuhukumiwa, Baadae alichukuliwa na askari, na akabahatika kuwa Forensic Science, yaani alikuwa anachunguza matukio ya kiuharifu yanayotokea, Siku moja ilitokea kitu ambacho hakijulikani na kumuingia Barry, alipozinduka baada ya siku nyingi kidogo ndio akapata uwezo wa kukimbia, Ndio akachukuliwa na Star Lab, kwa ajili yakupambana na Uhalifu, mpaka sasa kuna Season 4, na Utangulizi wa hii movie ni hii hapa sauti ambayo Barry Allen anaonge.
"My name is Barry Allen and I'm the fastest man alive. When I was a child, I saw my mother killed by something impossible. My father went to prison for her murder. Then an accident made me the impossible. To the outside world, I'm just an ordinary forensic scientist, but secretly I use my speed to fight crime and find others like me, and one day I'll find who killed my mother and get justice for my father. I am The Flash".
MERLIN
Naweza sema ni Season pendwa sana kwa watu wa rika zote, kutokana na plot nzima, na uwezo wa mtaalamu Corlin Morgan(Merlin) kucheza vizuri pia kuna watu kama Bradley James(Arthur), na Angel Coulby(Gwen) wakimsaidia, Season hii kutoka uingereza inaelezea tawala ya mfalme Urther ambaye yeye alikuwa hapendi mambo ya kichawi na kuwachoma moto wachawi pamoja na kumfungia Dragon, Lakini falme hiyo inapitia kwenye wakati ambao ni mgumu kwa kweli na mkombozi pekee ni Young Warlock (Merlin) ambaye anatumia uchawi wa macho yake kwa siri bila kujulikana na mfalme, Mwanzo inaanza sauti ya Dragon akisema:
"In a land of myth, and a time of magic, the destiny of a great kingdom rests on the shoulders of a young boy. His name... Merlin."
ARROW
Miaka ya 2011 hii Series ilikuwa inapendwa sana, na ilikuwa inaitwa Arrow ambaye jamaa anayefahamika kwa jina la Oliver Queen kupotea kwa kipindi cha miaka mitano baada ya Meli aliyopanda na baba ake kushindwa kuendelea na safari maana nahodha wa meli hiyo aliwekewa sumu, lakini Oliver alipewa kitabu na baba ake ambacho kina Orodha ya majina ya watu ambao wamesababisha, Mpaka sasa ina Season 6, baada ya kurudi OLiver aliakuwa amesema maneno haya
"My name is Oliver Queen. After five years in hell I came back with only one goal, to save my city. I used to fight that war on two fronts, leading the star city as its mayor by day and crime fighting vigilante The (not so) GREEN Arrow by night. But last year a man named Prometheus killed the mother of my son, leaving him to my care, and I promised him that he would not be orphaned unlike me. But to do so, I can not be the masked vigilante I once was. I have to become someone else, I have to become something, else. I have to become A FATHER"
THE LEGEND OF THE SEEKER
Kijana ambaye anatambulika kwa jina la Richard Cypher anapewa mtihani wa kupambana na jeshi la shetani mtaalamu Darken Rahl, Richad ambaye alikuwa ndio Seeker ambaye atamuuahuyo mtu kwa kusaidiwa na mzee Zediscus Zoranda, Aliambiwa maneno haya ambayo ndio yanasikika mwanzoni mwa kila episode
"Richard Cypher you are the true seeker"
LEGEND OF TOMORROW
Baada ya kuvamiwa kwa dunia Rip Hunter alipoteza familia yake (Mtoto na Mke) mtaalamu Rip Hunter akaamua kuundaa kikosi ambacho kitamtafuta Vandal Savage ambapo ndio walishambulia dunia kwa miaka ya 2116, na alikuwa na lengo la kuanzisha ngome pamoja na kutawala lakini Mtaalamu aliita rafiki zake kwa ajili ya kupambana na Vandal, mwanzoni Rip Hunter anasema haya maneno.
"In 2166 an immortal tyrant named Vandal Savage conquered the world and murdered my wife and child. I have assembled an elite team to hunt him throughout time and stop his rise to power. Unfortunately my plan is opposed by the body I'd sworn my allegiance to, the Time Masters. In the future my friends may not be heroes, but if we succeed they'll be remembered as Legends."