General Information
- Title: SAW (JIGSAW)
- Director: The Spierig Brothers
- Producer: Gregg Hoffman
- Country: US
- Time: 92 Minutes
PLOT
Baada ya kufuatilia mfululizo wa movie kali za Saw, mwaka jana wamerudi tena na hii inaitwa JigSaw, mara ya mwisho Mtaalam John Kramer alionekana amekufa, Lakini leo hii hapa mchezo wa mauaji umerudi tena baada ya watu watano Mitch, Anna, Ryan, Carly, na mwanaume mmoja ambae hajajulikana kutokana na kupoteza fahamu, wanatakiwa kutubu dhambi zao la sivyo wanauwawa.
Cheki hii
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni