Jumapili, 8 Machi 2020

HORROR MOVIE YA "RAW" |DOWNLOAD

Movie inaelezea maisha ya msichana anayefahamika kwa jina la Justine ambaye anapelekwa kwenye vegeterian school ambapo anasoma shule hiyo iliyopo mbali na mji pamoja na Dada ake Alexia ambaye alimzidi mwaka mmoja kimadarasa.
Kama ujuavyo wanafunzi wapya lazima wapate mateso, uonevu kutoka kwa wakubwa zao waliowakuta, Moja ya mateso hayo ilikuwa ni kulishwa Raw Rabbit Kidney na kuna damu wanawamwagia.
Mwanzoni Justine alikataa kula lakini baadae alikuwa na kujikuta na aleji na matokeo yake ni kuwa ngozi yake ilikuwa na ukurutu na kupeel. Baadae ikampelekea kuwa na tamaa ya ngonona pia kuzidi kula nyama.

BEST QUALITY

GOOD QUALITY

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni