Moja ya series kali ya ngumi ya kimarekani ambayo ina jumla ya sehemu 23 kwa season one
Season hii inamuhusisha mwanamke mmojs ambaye alikutwa akiwa uchi katikati ya mji ndani ya begi huku mwili wake wote ukiwa umechorwa tattoo, baadae ikafahamika kuwa mwanadada huyo anaitwa Jane Doe, huku akiwa hana kumbukumbu ya kitu gani kimetokea kwenye mwili wake mpaka zimechorwa tatoo hizo, Pia kuna tattoo ya jina la Kurt Weller ambaye ni FBI, Ndipo uchunguzi ukaanza kufanyika kwa ajili ya kumtambua mwanaamke huyo huku mwanzoni aligundulika kama mwanajeshi wa Navy Seal ambapo alishiriki special operation.
SEASON TWO
SEASON THREE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni